Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Vistawishi na nyenzo za wageni

  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Hariri kichwa cha tangazo lako

    Unaweza kubadilisha jina la tangazo lako wakati wowote ukipenda, kwa hivyo jisikie huru kulipatia jina linaloangazia kile kinachofanya eneo lako liwe maalumu.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka vistawishi kwenye tangazo

    Wageni wanaweza kuchuja matokeo ya utafutaji wa matangazo kwa kufuatia vistawishi, kwa hivyo ni muhimu ujumuishe kila kitu unachotoa.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kuweka vipengele vya ufkiaji kwenye matangazo

    Wageni walio na mahitaji ya ufikiaji wanaweza kutafuta matangazo kulingana na mahitaji yao binafsi.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kufanya jaribio la kasi ya Wi-Fi yako

    Thibitisha muunganisho wako wa intaneti na kasi ya Wi-Fi ili kufanya tangazo lako lionekane wageni wanapotafuta eneo la kukaa.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka sheria za nyumba kwenye tangazo

    Wenyeji hushiriki sheria za nyumba zao ili kuweka matarajio kwa wageni wao, kama vile ruhusa ya kuleta wanyama vipenzi au kuwa na wageni.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kuweka mwongozo wa mgeni kwenye tangazo lako

    Mwongozo wako wa mgeni unaelezea vipengele vya tangazo lako, kama vile jinsi televisheni inavyofanya kazi au mahali pa kupata blanketi ya ziada.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kuwajulisha wageni kuhusu vifaa vya usalama

    Uwazi husaidia kujenga uaminifu na kuweka matarajio dhahiri kati ya wenyeji na wageni. Kwa kufichua kamera za usalama, vifaa vya kurekodi na vifuatiliaji vya kiwango cha sauti, wenyeji wanaweza kusaidia kuhakikisha wageni wanajua wanachopaswa kutarajia wakati wa ukaaji wao.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kumlipa msafishaji wako mshahara wa kuishi

    Wenyeji wetu wa Marekani wamejizatiti kuwapa wasafishaji wao malipo ya haki.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka kitabu cha mwongozo kwenye tangazo lako

    Unaweza kuunda kitabu cha mwongozo wa mwenyeji baada ya kumaliza hatua za kutangaza sehemu yako.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka maelezo ya picha kwenye picha kwenye tangazo lako

    Kuweka maelezo ya picha (maandishi mbadala) kwenye picha za tangazo kunaweza kusaidia kuelezea kilicho kwenye picha kwa wageni ambao ni vipofu, wasioona vizuri au ambao hawawezi kupakia picha za tangazo.