Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Vyumba na sehemu

  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka au hariri picha

    Tunapendekeza kwamba upakie picha chache zinazoonekana vizuri kabisa. Unaweza kuburuta picha na kuziweka kwenye mpangilio wowote unaotaka.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kutangaza vyumba kadhaa

    Unaweza kuunda tangazo tofauti kwa kila sehemu uliyonayo. Kila chumba kitakuwa na kalenda yake na ukurasa wa tangazo idadi ya vitanda na vistawishi.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka mpangilio wa kulala kwenye tangazo lako

    Nenda kwenye mipangilio ya kulala kisha uweke idadi na aina za vitanda.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Makufuli ya chumba cha kulala na bafu kwa ajili ya tangazo lako la Chumba

    Wageni wanatarajia kwamba watakuwa na chaguo la kufunga chumba chao cha kulala au bafu lolote wanaloweza kufikia. Ndiyo sababu tunapendekeza Wenyeji waweke makufuli kwenye vyumba vyovyote vya kulala na mabafu ambayo wageni wanaweza kutumia.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kuchagua taarifa ya faragha ya bafuni

    Wakati wa kuweka nafasi ya Vyumba, inapaswa kuwa wazi kwa wageni ikiwa bafu ni la pamoja, maalumu au la kujitegemea kwenye chumba.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kutangaza Chumba

    Vyumba ni bora kwa wageni wanaopendelea faragha kidogo, lakini bado wanataka kukutana na mtu mpya na kufurahia eneo hilo kama mkazi. Haya ni baadhi ya mambo ya kuzingatia kabla ya kukaribisha wageni kwenye chumba.