Weka maelezo ya picha kwenye picha kwenye tangazo lako
Adding visual descriptions (alt text) to listing photos is a meaningful action hosts can take to be inclusive of more guests. They help by describing what’s in the photo for guests who are blind, have low-vision, or can’t load listing images.
How visual descriptions help guests
Visual descriptions are useful for:
- Making images accessible to people who are blind or low vision who use screen readers to read visual descriptions aloud.
- Helping users with slow or unreliable internet connections. When images don’t load, visual descriptions may be shown in place of the image.
- Providing context and keywords to search engines, helping them know what your image is about.
Hariri maelezo ya picha
Baada ya kumaliza, beji itawekwa kwenye picha ikionyesha kuwa kuna maelezo ya picha.
Hariri maelezo ya picha kwenye kompyuta
- Bofya Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, bofya Sehemu yako
- Bofya Ziara ya picha kisha ubofye Picha zote
- Chagua picha kisha ubofye Weka maelezo ya picha
- Andika maelezo ya picha hiyo, kisha ubofye Hifadhi
Hariri maelezo ya picha katika programu ya Airbnb
- Gusa Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Ziara ya picha kisha uguse Picha zote
- Chagua picha kisha uguse Weka maelezo ya picha
- Andika maelezo ya picha hiyo, kisha uguse Hifadhi
Hariri maelezo ya picha katika programu ya Airbnb
- Gusa Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Ziara ya picha kisha uguse Picha zote
- Chagua picha kisha uguse Weka maelezo ya picha
- Andika maelezo ya picha hiyo, kisha uguse Hifadhi
Hariri maelezo ya picha kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Ziara ya picha kisha uguse Picha zote
- Chagua picha kisha uguse Weka maelezo ya picha
- Andika maelezo ya picha hiyo, kisha uguse Hifadhi
Tips for writing useful visual descriptions
Unlike photo captions which help convey the mood of a photo, visual descriptions should accurately and objectively describe the contents of a listing photo.
- Be brief. Descriptions must be fewer than 250 characters, so include important details first.
- Be objective. Describe only what’s shown in the photo. Details about what you love, or the mood of the space should be added to your photo captions instead.
- Describe all unique or important objects in the photo.
- Describe the space shown in the photo, including any stand-out features about its size, style, and lighting.
Example visual description
Visual description: "A modern armchair with plush gray cushions and blue throw pillows sits between a side table and a tall lamp near a large, sunny window. A world map covers the wall behind the chair."
Great listing photos help set expectations for guests with accessibility needs. Check out our guide to photographing accessibility features.
Makala yanayohusiana
- Jinsi ya kufanya•Mwenyeji
Kuweka vipengele vya ufkiaji kwenye matangazo
Wageni walio na mahitaji ya ufikiaji wanaweza kutafuta matangazo kulingana na mahitaji yao binafsi. - Jinsi ya kufanya•Mwenyeji
Kukaribisha wageni wenye mahitaji ya ufikiaji
Tathmini orodha yetu ya vipengele vya ufikiaji ambavyo unaweza kuweka kwenye tangazo lako. Fikiria kufanya mabadiliko ili kukidhi mahitaji y…
