Saudia
|
|||||
| Kaulimbiu ya taifa: لا إله إلا الله محمد رسول الله(Kiarabu) Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi "Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah" |
|||||
| Wimbo wa taifa: ash al malik ("Asifiwe mfalme") | |||||
| Mji mkuu | Riyadh |
||||
| Mji mkubwa nchini | Riyad | ||||
| Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
| Serikali | Ufalme Salman bin Abdulaziz Mohammad bin Nayef |
||||
| Kuanzishwa Ilitangazwa Ilitambuliwa Iliunganishwa |
8 Januari 1926 20 Mei 1927 23 Septemba 1932 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,149,690 km² (ya 13) 0.7% |
||||
| Idadi ya watu - 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
30,770,3751 (ya 41 2) 12.3/km² (ya 216) |
||||
| Fedha | Riyal (SAR) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) +3 (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .sa | ||||
| Kodi ya simu | +966
- |
||||
| 1 Kadirio la jumla ya wakazi pamoja na watu 5,576,076 wasio wazalendo |
|||||
Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu.
Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen.
Kuna pwani ya Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi.
Yaliyomo
Historia[hariri | hariri chanzo]
Jina la nchi limetoka kwa familia ya watawala, yaani familia ya aliyeianzisha, Chifu Ibn Saud wa Riyad. Yeye, baada ya kuondoka kwa jeshi la Waturuki Waosmani waliotawala Arabia kwa karne kadha, alishinda vita baina ya makabila ya Uarabuni ya kati akaweza kuvamia na kutawala maeneo ya Najd na Hejaz na mwaka 1932 alitangaza Ufalme wa Uarabuni wa Saudia
Watu[hariri | hariri chanzo]
Ukiacha wahamiaji, wenyeji ni Waarabu (90%) na machotara Waarabu-Waafrika (10%)
Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiarabu, lakini wahamiaji wanatumia pia lugha zao.
Mara nyingi Saudia inaitwa "al-haramain", yaani nchi ya mahali patakatifu pawili, kwa kumaanisha miji ya Makka na Madina ambayo ni miji mitakatifu zaidi katika Uislamu.
Ukweli huu unatumika kuzuia waumini wa dini nyingine zote, ambao ni wahamiaji (21% za wakazi wote), wasiweze kujenga maabadi wala kufanya ibada za pamoja, hata kama ni ndani ya nyumba zao.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
- Saudi Arabia official government website
- Saudi Arabia entry at The World Factbook
- Saudia katika Open Directory Project
- Saudi Arabia profile from the BBC News
- Wikimedia Atlas of Saudi Arabia
- Key Development Forecasts for Saudi Arabia from International Futures
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saudia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
