1932
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1928 | 1929 | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1932 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
| Kalenda ya Gregori | 1932 MCMXXXII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5692 – 5693 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1924 – 1925 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1381 ԹՎ ՌՅՁԱ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1351 – 1352 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1310 – 1311 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1987 – 1988 |
| - Shaka Samvat | 1854 – 1855 |
| - Kali Yuga | 5033 – 5034 |
| Kalenda ya Kichina | 4628 – 4629 辛未 – 壬申 |
- 6 Februari - Simeon Nyachae, mwanasiasa kutoka Kenya
- 26 Februari - Johnny Cash, mwanamuziki kutoka Marekani
- 4 Machi - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 31 Machi - Walter Gilbert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 26 Aprili - Michael Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993
- 11 Juni - Athol Fugard, mwandishi wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 2 Agosti - Peter O'Toole, mwigizaji wa filamu kutoka Eire
- 17 Agosti - Vidiadhar Naipaul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001
- 17 Agosti - Abebe Bikila, mwanariadha Mhabeshi)
- 18 Agosti - Luc Montagnier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 24 Oktoba - Pierre de Gennes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991
- 2 Novemba - Melvin Schwartz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 5 Desemba - Sheldon Glashow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 16 Februari - Ferdinand Buisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927
- 2 Machi - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
- 7 Machi - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926
- 4 Aprili - Wilhelm Ostwald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909
- 15 Julai - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini
- 16 Septemba - Sir Ronald Ross, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902
- 6 Novemba - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: