1909
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1905 | 1906 | 1907 | 1908 | 1909 | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1909 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
| Kalenda ya Gregori | 1909 MCMIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5669 – 5670 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1901 – 1902 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1358 ԹՎ ՌՅԾԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1327 – 1328 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1287 – 1288 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1964 – 1965 |
| - Shaka Samvat | 1831 – 1832 |
| - Kali Yuga | 5010 – 5011 |
| Kalenda ya Kichina | 4605 – 4606 戊申 – 己酉 |
- 1 Januari - Shaaban Robert, mshairi maarufu wa Tanzania
- 2 Januari - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani
- 15 Januari - Gene Krupa, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Februari – Wallace Stegner, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972
- 28 Februari - Ketti Frings, mwandishi kutoka Marekani
- 13 Aprili - Eudora Welty, mwandishi kutoka Marekani
- 22 Aprili - Rita Levi-Montalcini, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986
- 30 Mei - Benny Goodman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 21 Septemba - Kwame Nkrumah (Rais wa kwanza wa Ghana)
- 3 Novemba – James Reston, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1945
- 27 Novemba - James Agee, mwandishi kutoka Marekani
- 14 Desemba - Edward Tatum, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 15 Januari - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: