Jinsi ya kufanya
Hariri maelezo ya tangazo lako lililounganishwa na programu kwenye Airbnb
Hariri maelezo ya tangazo lako lililounganishwa na programu kwenye Airbnb
You can edit listing details directly on Airbnb in your Listings. When you update specific fields on Airbnb, those changes will be saved and won’t be overwritten by your software. For example, if you change the listing description on Airbnb, guests will see that version, even if you later update it in your software.
Reviewing updates made directly on Airbnb
You can find the listing details you updated on Airbnb under API Status in your Listing Editor.
Syncing with your software
Fields updated directly on Airbnb won’t be overwritten by your software. However, any fields you didn’t update on Airbnb will continue to sync from your software. If you want your software to manage all fields again, simply update the listing in your software, and it will sync to Airbnb.
Sasisha tangazo lako kwa kuweka taarifa kutoka kwenye programu yako iliyounganishwa
Badilisha taarifa ya tangazo lako kwa kutumia programu iliyounganishwa kwenye kompyuta
- Bofya Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kungalia
- Chini ya Kihariri tangazo, bofya Hariri mapendeleo
- Bofya Programu ya usimamizi wa nyumba
- Bofya Simamia kutoka kwenye programu ya {partner_app_name} badala yake
Sasisha taarifa ya tangazo lako kwa kutumia programu iliyounganishwa katika programu ya Airbnb
- Gusa Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka kuangalia
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Hariri mapendeleo
- Gusa Programu ya usimamizi wa nyumba
- Gusa Simamia kutoka kwenye programu ya {partner_app_name} badala yake

Sasisha taarifa ya tangazo lako kwa kutumia programu iliyounganishwa kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuangalia
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Hariri mapendeleo
- Gusa Programu ya usimamizi wa nyumba
- Gusa Simamia kutoka kwenye programu ya {partner_app_name} badala yake
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
Jinsi ya kurekebisha hitilafu za matangazo kwa ajili ya matangazo yaliyounganishwa na programu
Ili kutathmini hitilafu na kuzirekebisha, ingia kwenye akaunti yako ya Airbnb katika kompyuta ya mezani au kifaa cha mkononi.- Mwenyeji
Nina machaguo gani ya kuoanisha matangazo kupitia programu?
Unaweza kubadilisha mipangilio yako ya uoanishaji kupitia programu yako ya PMS/CM au kwa kutumia Airbnb. - Mwenyeji
Nitabadilisha vipi mipangilio yangu ya uoanishaji kwa matangazo yangu yaliyounganishwa?
Dhibiti maelezo ya tangazo moja kwa moja kwenye Airbnb kwa kubadilisha mipangilio yako ya uoanishaji.