Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Ni kwa jinsi gani mabadiliko ya nafasi iliyowekwa yanaathiri malipo unayotumiwa
Ni kwa jinsi gani mabadiliko ya nafasi iliyowekwa yanaathiri malipo unayotumiwa
When a guest submits a change request, it’s treated as a new booking, and the price is calculated at your current nightly rate. If you've adjusted your listing’s nightly rate since the original booking was made, your payout will be calculated based on this new rate.
If the rate is now higher, you could offer the original rate by making a special offer. Your guest will appreciate it.
Ili kutuma ofa maalumu
Tuma ofa maalumu kwenye kompyuta
- Bofya Ujumbe kisha ufungue ujumbe kutoka kwa mgeni wako
- Bofya Ofa maalumu
- Chini ya Jumla ndogo, weka bei ambayo ungependa kutoa kwa muda wote wa kukaa
- Bofya Tuma ofa maalumu
Tuma ofa maalumu katika programu ya Airbnb
- Gusa Ujumbe
kisha ufungue ujumbe kutoka kwa mgeni wako

Tuma ofa maalumu kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Ujumbe kisha ufungue ujumbe kutoka kwa mgeni wako
- Bofya Ofa maalumu
- Chini ya Jumla ndogo, weka bei ambayo ungependa kutoa kwa muda wote wa kukaa
- Bofya Tuma ofa maalumu
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- Mgeni
Kurejeshewa fedha nchini India
Je, unatarajia kurejeshewa fedha kwa sababu ya kughairi nchini India? Fahamu tu kwamba sera za kadi ya mkopo nchini humo zinaweza kuathiri l… - Mwenyeji
Nini maana ya marekebisho kwenye mapato yako
Marekebisho ni kiasi cha pesa ambacho mwenyeji anadaiwa kwa sababu ya kughairi, mabadiliko ya nafasi iliyowekwa, au ukiukaji wa Sera yetu ya… - Mwenyeji
Weka bei ya kila usiku na uifanye iwe mahususi
Hariri tangazo lako ili kudhibiti bei yako ya kila usiku. Mabadiliko yoyote unayofanya yatatumika tu kwenye nafasi zitakazowekwa siku zijazo…