Jinsi ya kufanya
Kuweka njia chaguo-msingi ya kupokea malipo

You may want to set up more than one payout method. You can designate one as your default, or you can even split payouts between 2 payout methods.
Kuweka njia yako chaguo-msingi ya kupokea malipo
Utapata njia yako chaguo-msingi ya sasa ya kupokea malipo ikiwa imebainishwa kando ya aina ya njia ya kupokea malipo.
- Nenda kwenye Akaunti > Malipo na kupokea malipo > Kupokea malipo
- Karibu na ile ambayo ungependa kuifanya iwe njia yako chaguo-msingi, bofya Hariri > Fanya iwe chaguo-msingi
- Bofya Wasifu
> Malipo na kupokea malipo > Njia za kupokea malipo

- Bofya Wasifu > Akaunti > Malipo na kupokea malipo > Njia za kupokea malipo

Kuondoa njia ya kupokea malipo
Ili kulipwa, huwezi kuondoa njia yako chaguo-msingi ya kupokea malipo.
- Nenda kwenye Akaunti > Malipo na kupokea malipo > Kupokea malipo
- Karibu na njia (isiyo chaguo-msingi) ambayo ungependa kuondoa, bofya Hariri > Ondoa
- Bofya Wasifu
> Malipo na kupokea malipo > Njia za kupokea malipo
- Karibu na njia (isiyo chaguo-msingi) ambayo ungependa kuondoa, bofya Hariri > Ondoa
- Bofya Wasifu
> Malipo na kupokea malipo > Njia za kupokea malipo
- Karibu na njia (isiyo chaguo-msingi) ambayo ungependa kuondoa, bofya Hariri > Ondoa
- Bofya Wasifu > Akaunti > Malipo na kupokea malipo > Njia za kupokea malipo
- Karibu na njia (isiyo chaguo-msingi) ambayo ungependa kuondoa, bofya Hariri > Ondoa
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- Mwenyeji
Inachukua muda gani kwa njia za malipo kuthibitishwa
Baada ya kuweka njia ya kupokea malipo, inachukua muda kabla ya kuthibitishwa. Wakati inathibitishwa, hali yake inaonekana kuwa Inasubiri. W… - Mwenyeji
Kuweka njia ya kupokea malipo
Unaweza kuweka au kubadilisha njia za kupokea malipo katika mipangilio ya akaunti yako. - Mwenyeji
Gawanya malipo yanayotumwa kati ya njia tofauti za kupokea malipo
Mara baada ya njia ya kupokea malipo ambayo umeweka kuwa tayari, unaweza kugawanya malipo unayotumiwa kulingana na tangazo, asilimia au zote…