IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamalizika

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamemalizika kwa kutunukwia zawadi washindi.

Wapalestina waitaka dunia isusie kikao cha Marekani nchini Bahrain

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kususia kongamano ambalo Marekani imeitisha nchini Bahrain ambalo...
Katibu Mkuu wa Hizbullah

Wapalestina wanakabiliwa na njama ya kuwaangamiza katika 'Muamala wa Karne'

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema: "Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" ambao...

Dunia yajitayarisha kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds

TEHRAN (IQNA) – Waislamu na wasiokuwa Waislamu kote duniani wanajitayarisha kudhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) kwa lengo la kutangaza kufungamana...
Habari Maalumu
Tarjuma ya Qur'ani kwa lugha ya Kiamhara yachapishwa

Tarjuma ya Qur'ani kwa lugha ya Kiamhara yachapishwa

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kiislamu ya Diyanet (TDV) ya Uturuki imechapisha tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiamhara ya Waislamu wa Ethiopia.
24 May 2019, 12:48
Msikiti Scotland wahujumiwa kwa maandishi ya kibaguzi

Msikiti Scotland wahujumiwa kwa maandishi ya kibaguzi

TEHRAN (IQNA) - Polisi katika jimbo la Scoltand nchini Uingereza wanachunguza kitendo cha uhalifu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) baada ya maandishi...
23 May 2019, 15:00
Gaidi aliyewaua kwa umati Waislamu New Zealand afikishwa kizimbani

Gaidi aliyewaua kwa umati Waislamu New Zealand afikishwa kizimbani

TEHRAN (IQNA)- Gaidi raia wa Australia aliyefanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu katika mji wa Christchurch huko New Zealand amefikishwa kizimbani kujibu...
22 May 2019, 11:03
Kilichonivutia katika Uislamu ni Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu)
Bi. Marziyah Hashemi

Kilichonivutia katika Uislamu ni Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu)

TEHRAN (IQNA) – Mmarekani-Muirani mwenye asili ya Afrika, Bi. Marzieh Hashemi anasema msingi wa Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) ni nukta ambayo ilimvutia...
21 May 2019, 13:03
Rais Magufuli wa Tanzania ahudhuria mashindano ya Qur’ani

Rais Magufuli wa Tanzania ahudhuria mashindano ya Qur’ani

TEHRAN (IQNA)- Rais John Magufuli wa Tanzania amehuhdhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani yaliyofanyika Jumapili Mei 19.
21 May 2019, 12:27
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Dubai

Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Dubai

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai wametangazwa Jumapili usiku baada ya kuchuana kwa muda wa siku 12.
20 May 2019, 12:24
Saudia imebomoa Misiki zaidi ya 1000, ikiwemo ya Maswahaba, katika hujuma zake dhidi ya Yemen

Saudia imebomoa Misiki zaidi ya 1000, ikiwemo ya Maswahaba, katika hujuma zake dhidi ya Yemen

TEHRAN (IQNA) – Muungano wa kivita unaoonogzwa na Saudi Arabia umebomoa zaidi ya misikiti 1,024 tangu uanzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, amesema...
19 May 2019, 15:29
Mwanamke Mjapani aliyesilimu kutokana na matukio ya  9/11

Mwanamke Mjapani aliyesilimu kutokana na matukio ya 9/11

TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Mjapani anasema mashambulizi ya Septemba 11 2001 nchini Marekani yalimpelekea afanye utafiti wa kina kuhusu Uislamu na hatimaye...
18 May 2019, 13:59
Iran inakaribia makabiliano ya pande zote na adui
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Iran inakaribia makabiliano ya pande zote na adui

TEHRAN (IQNA) - Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC), amesisitiza kwamba maadui wamefikia mwisho wa njia na kwamba...
17 May 2019, 12:23
Mipango 126 mipya ya ubunifu katika maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tehran

Mipango 126 mipya ya ubunifu katika maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tehran

TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran mwaka huu yana mipango 126 ya ubunifu katika sekta ya Qur’ani na hivyo kuyafanya yawe...
13 May 2019, 11:07
Misikiti 300 kufunguliwa Misri katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Misikiti 300 kufunguliwa Misri katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu huko Misri ametangaza kuwa misikiti 300 itafunguliwa nchini humo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
12 May 2019, 20:23
Maandamano baada ya Sala ya Ijumaa Iran kuunga mkono hatua za kukabiliana na Marekani

Maandamano baada ya Sala ya Ijumaa Iran kuunga mkono hatua za kukabiliana na Marekani

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran ya Kiislamu wameandamana nchi nzima baada ya Sala ya Ijumaa kuunga mkono hatua zilizochukuliwa na serikali ya Iran kusimamisha...
10 May 2019, 22:08
Picha