Weka bei ya kila usiku na uifanye iwe mahususi
Sharing your space can bring you lasting memories, worldwide connections, and cash in your pocket—but it all begins with pricing.
Default and custom pricing
Your calendar will display your default nightly price on all dates you haven’t customized. You can customize your prices for any nights you choose, such as high-demand dates like holidays or special events. Just know that any pricing changes you make will only apply to future reservations, not those that are already pending or confirmed.
Kuweka bei yako chaguo-msingi ya kila usiku
Ikiwa ungependa bei yako ibadilike kulingana na uhitaji, washa kipengele cha Upangaji Bei Kiotomatiki. Vinginevyo:
Weka bei chaguomsingi kwenye kompyuta
- Bofya Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Bofya Upangaji bei, kisha nenda kwenye Bei ya msingi
- Weka bei yako chaguo-msingi ya kila usiku, kisha ubofye Hifadhi
Weka bei chaguomsingi katika programu ya Airbnb
- Gusa Kalenda
kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Gusa Mipangilio
- Gusa Upangaji bei, kisha nenda kwenye Bei ya msingi

Weka bei chaguomsingi kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Gusa Upangaji bei, kisha nenda kwenye Bei ya msingi
- Weka bei yako chaguo-msingi ya kila usiku, kisha ubofye Hifadhi
Kuweka bei mahususi kwa usiku mahususi
Weka bei mahususi kwenye kompyuta
- Bofya Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Chagua usiku mmoja au usiku kadhaa
- Weka bei yako mahususi, kisha ubofye Hifadhi
Weka bei mahususi katika programu ya Airbnb
- Gusa Kalenda
kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Chagua usiku mmoja au usiku kadhaa
- Weka bei yako mahususi, kisha uguse Hifadhi
Weka bei mahususi katika programu ya Airbnb
- Gusa Kalenda
kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Chagua usiku mmoja au usiku kadhaa
- Weka bei yako mahususi, kisha uguse Hifadhi
Weka bei mahususi kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Chagua usiku mmoja au usiku kadhaa
- Weka bei yako mahususi, kisha uguse Hifadhi
How custom pricing works with other pricing
Your new custom price will show for each selected night, overriding your default nightly price as well as any Smart Pricing, weekend pricing, or long-term pricing you may have set.
Learn more about other ways to price your listing:
- Smart Pricing—which changes nightly prices based on demand
- Weekend pricing—for Friday and Saturday nights
- Weekly and monthly—discounts on stays of 7 nights or more
- Rule-set pricing—for even greater customization and automation
Makala yanayohusiana
- Mwenyeji
Kuweka bei ya tangazo lako
Kama Mwenyeji, sikuzote unasimamia bei zako. Unaweza kuibadilisha wakati wowote, wewe ndiwe unayedhibiti. - Mwenyeji
Tumia kipengele cha Upangaji bei Kiotomatiki ili kurekebisha bei zako kiotomatiki kulingana na uhitaji
Upangaji Bei Kiotomatiki hukuwezesha kuweka bei zako ili zipande au kushuka kiotomatiki kulingana na mahitaji ya matangazo kama yako. - Mwenyeji
Jinsi seti za sheria zinavyofanya kazi
Mara unapoweka jumla ya kanuni kwenye tangazo, itabatilisha bei zilizopo na mipangilio ya upatikanaji uliyoweka kwa tarehe hizo.