Weka maelezo ya safari ya kikazi kwenye nafasi uliyoweka
If you’ve added your work email to your profile or enrolled in Airbnb for Work, you can add business travel notes to a trip. Being a “verified” business traveler means you’ve added your work email to your Airbnb account, though it’s your choice whether to add business details to a trip.
Ili kuweka maelezo ya safari ya kikazi kwenye safari
Lazima uwe msafiri wa kikazi aliyethibitishwa ili uweke maelezo ya safari ya kikazi kwenye nafasi uliyoweka.
Weka maelezo ya safari ya kikazi kwenye kompyuta
- Bofya Safari kisha uchague safari unayotaka kuhariri
- Nenda kwenye Taarifa ya malipo
- Chagua Hii ni safari ya kikazi
- Bofya Weka maelezo ya kulipia safari yako
- Weka anwani yako ya kutuma malipo au maelezo mengine yoyote muhimu, kisha ubofye Hifadhi
Weka maelezo ya safari ya kikazi katika programu ya Airbnb
- Gusa Safari
kisha uchague safari unayotaka kuhariri
- Nenda kwenye Taarifa ya malipo
- Chagua Hii ni safari ya kikazi
- Bofya Weka maelezo ya kulipia safari yako
- Weka anwani yako ya kutuma malipo au maelezo mengine yoyote muhimu, kisha ubofye Hifadhi
Weka maelezo ya safari ya kikazi katika programu ya Airbnb
- Gusa Safari
kisha uchague safari unayotaka kuhariri
- Nenda kwenye Taarifa ya malipo
- Chagua Hii ni safari ya kikazi
- Bofya Weka maelezo ya kulipia safari yako
- Weka anwani yako ya kutuma malipo au maelezo mengine yoyote muhimu, kisha ubofye Hifadhi
Weka maelezo ya safari ya kikazi kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Safari kisha uchague safari unayotaka kuhariri
- Nenda kwenye Taarifa ya malipo
- Chagua Hii ni safari ya kikazi
- Bofya Weka maelezo ya kulipia safari yako
- Weka anwani yako ya kutuma malipo au maelezo mengine yoyote muhimu, kisha ubofye Hifadhi
Adding VAT details to your notes won’t affect the VAT charged on your reservation. VAT invoices cannot be changed. Learn more about how VAT may apply to you.
Receipts won't show business details added after the reservation is confirmed
Once a reservation is confirmed, what’s shown on the receipt won’t change, regardless of any updates that you make to your business details. You can still add business details or notes to your trip, but changes cannot be made to the receipt.
If you need to add information to your receipt, you can have it reissued by canceling and rebooking your trip. Important: Canceling your reservation will be subject to your Host’s cancellation policy, so make sure you check your Host’s cancellation policy first to find out if you’ll receive a refund.
Makala yanayohusiana
- Mgeni
Weka alama kwenye nafasi iliyowekwa kama safari ya kikazi ya Airbnb Kikazi
Unaweza kutambua nafasi iliyowekwa kama safari ya kikazi kwa kuchagua "Je, hii ni safari ya kikazi?" wakati wa kutoka. - Mgeni
Kuweka nafasi ya safari yako ya kikazi
Airbnb inawaruhusu watu walioteuliwa katika makampuni yaliyoandikishwa kwenye Airbnb Kikazi kuweka nafasi ya safari kwa niaba ya wafanyakazi… - Mgeni
Kuhusu Airbnb Kikazi
Weka nafasi na udhibiti safari za kikazi kwa ajili ya wafanyakazi wako na utumie zana zetu ili kukusaidia kudhibiti safari za kikazi.