Israel
Kwa maana mbalimbali za jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)
|
|||||
| Kaulimbiu ya taifa: - | |||||
| Wimbo wa taifa: Hatikvah ("Tumaini") | |||||
| Mji mkuu | Yerusalemu1 |
||||
| Mji mkubwa nchini | Yerusalemu | ||||
| Lugha rasmi | Kiebrania, Kiarabu | ||||
| Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Reuven Rivlin Benjamin Netanyahu |
||||
| Uhuru Tangazo la uhuru |
14 Mei 1948 (05 Iyar 5708) |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,770 km² (ya 153) ~2 |
||||
| Idadi ya watu - Desemba 2014 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
8,238,3002 (ya 96) 7,412,200 387.63/km² (ya 34) |
||||
| Fedha | Shekel (₪) (ILS) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
IST (UTC+2) (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .il | ||||
| Kodi ya simu | +972 |
||||
| 1 Haujatambuliwa kama mji mkuu na nchi nyingi duniani. 2 pamoja na raia wa Iaraeli kwenye maeneo ya Palestina, Yerusalemu ya Mashariki na Golan. |
|||||
Israel (kwa Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; kwa Kiarabu: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea.
Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe 14 Mei 1948 lakini nyuma kuna historia ndefu.
Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu mwaka 1950 lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali ya kisheria ya kimataifa juu ya Yerusalemu haieleweki.
Watu[hariri | hariri chanzo]
Takriban 74.9% za wakazi ni Wayahudi ambao wengi wao wanafuata dini ya Uyahudi, na 20.7 % ni Waarabu ambao wengi ni Waislamu (16%) lakini pia Wakristo (2%). Wahamiaji wengi ni Wakristo.
Lugha rasmi ni Kiebrania na Kiarabu. Lugha nyingine zinazotumika sana nyumbani ni Kirusi, Kifaransa na Kiamhari, mbali ya Kiingereza.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) na (Kiarabu) (Kiebrania) Tovuti ya serikali
- Israel blog
| Nchi na maeneo ya Asia |
|
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
| 1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Israel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |