1925
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1921 | 1922 | 1923 | 1924 | 1925 | 1926 | 1927 | 1928 | 1929 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1925 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
| Kalenda ya Gregori | 1925 MCMXXV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5685 – 5686 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1917 – 1918 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1374 ԹՎ ՌՅՀԴ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1344 – 1345 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1303 – 1304 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1980 – 1981 |
| - Shaka Samvat | 1847 – 1848 |
| - Kali Yuga | 5026 – 5027 |
| Kalenda ya Kichina | 4621 – 4622 甲子 – 乙丑 |
- 6 Januari - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini (1998-2003)
- 26 Januari - Paul Newman - mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani
- 9 Januari - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Januari - Ernesto Cardenal
- 17 Februari - Hal Holbrook, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Machi - Leo Esaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 25 Aprili - Wendo Kolosoy, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 4 Mei - Ruth First, mwandishi wa Afrika Kusini
- 8 Mei - Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania (1985-1995)
- 19 Mei - Malcolm X
- 23 Mei - Joshua Lederberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 25 Mei - Shehu Shagari, Rais wa Nigeria (1979-1983)
- 6 Juni - Maxine Kumin, mshairi kutoka Marekani
- 11 Juni - William Styron, mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968
- 23 Juni - Oliver Smithies, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 2 Julai - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 20 Julai - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 28 Julai - Baruch Blumberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1976
- 12 Agosti - Donald Justice, mshairi kutoka Marekani
- 15 Agosti - Oscar Peterson, mwanamuziki wa Kanada
- 27 Septemba - Robert G. Edwards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2010
- 12 Oktoba - Charles Gordone, mwandishi kutoka Marekani
- 13 Oktoba - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Oktoba - John Pople, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 11 Novemba - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 24 Novemba - Simon van der Meer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1984
- 1 Desemba - Martin Rodbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 10 Desemba - Carolyn Kizer, mshairi kutoka Marekani
- 11 Desemba - Paul Greengard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 22 Januari - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 24 Februari - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 12 Mei - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1 Juni - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani
- 29 Septemba - Leon Bourgeois, mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1920
- 5 Desemba - Wladyslaw Reymont, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1924
Wikimedia Commons ina media kuhusu: