Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Bei ya wikendi
Bei ya wikendi
You can vary your pricing on Friday and Saturday nights by setting custom weekend pricing.
Weka bei ya wikendi
Ikiwa unataka kuweka bei yako ya wikendi, zima kipengele cha Upangaji Bei Kiotomatiki.
Weka bei ya wikendi kwenye kompyuta
- Bofya Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Bofya Bei, kisha ubofye Bei mahususi ya wikendi
- Weka bei yako mahususi ya wikendi kisha ubofye Hifadhi
Weka bei ya wikendi katika programu ya Airbnb
- Gusa Kalenda
kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Gusa Mipangilio gear-settingskisha uende kwenye Bei
- Gusa Bei mahususi ya wikendi
- Weka bei yako mahususi ya wikendi, kisha uguse Hifadhi
Weka bei ya wikendi katika programu ya Airbnb
- Gusa Kalenda
kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Gusa Mipangilio gear-settingskisha uende kwenye Bei
- Gusa Bei mahususi ya wikendi
- Weka bei yako mahususi ya wikendi, kisha uguse Hifadhi
Weka bei ya wikendi kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Kalenda kisha uchague kalenda ya tangazo unayotaka kubadilisha
- Gusa Bei, kisha uguse Bei mahususi ya wikendi
- Weka bei yako mahususi ya wikendi kisha uguse Hifadhi
To remove weekend pricing, click or tap Remove next to your custom weekend price. Your Friday and Saturday night prices will then revert to your default nightly price. Your pricing changes won't affect pending or accepted reservations.
Overriding existing price settings
In the case of weekend versus custom pricing, your newer price will override your previous settings. For example:
- Setting weekend pricing after you’ve already set custom weekly and monthly pricing means your new weekend pricing will replace all Friday and Saturday night pricing on your calendar
- Setting weekend pricing before custom pricing means your new custom price will override your weekend price
Find out how to boost your bookings with a savvy pricing strategy.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- Mwenyeji
Tumia kipengele cha Upangaji bei Kiotomatiki ili kurekebisha bei zako kiotomatiki kulingana na uhitaji
Upangaji Bei Kiotomatiki hukuwezesha kuweka bei zako ili zipande au kushuka kiotomatiki kulingana na mahitaji ya matangazo kama yako. - Mwenyeji
Kuna vizuizi vyovyote kuhusu kinachoweza kutangazwa kama mahali pa kukaa?
Airbnb inakaribisha matangazo mengi tofauti kwenye tovuti yetu maadamu yanakidhi vigezo vyetu. - Mwenyeji
Jinsi mapunguzo yanavyotumika
Kuna aina tofauti za mapunguzo na promosheni zinazopatikana kwa ajili ya tangazo lako, lakini ni ofa moja tu inayoweza kutumika kwa kila uka…