|
@
MagufuliJP
Tanzania
|
|
The Fifth President of The United Republic of Tanzania.
|
|
|
140
Tuits
|
5
Seguint
|
149.172
Seguidors
|
| Tuits |
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
29 juny |
|
Ugunduzi huu utuelekeze kujipanga hasa ktk eneo la mikataba yetu ili rasilimali hii adimu isaidie kuujenga uchumi wetu 2/2
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
29 juny |
|
Tunamshukuru Mungu Tanzania tumegundua gesi aina ya Helium(He),wito wangu kwa wachumi,wanasheria na watanzania wote kwa ujumla tujipange1/2
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
6 juny |
|
Ndugu zangu Waislamu tunaanza mwezi mtukufu wa Ramadhani ktk kutekeleza moja ya nguzo kuu za Uislamu,nawatakia Waislamu wote mfungo mwema.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
19 març |
|
Kesho ni siku yakupiga kura kwa ndg zetu wa Zanzibari, ninawatakia uchanguzi mwema na wenye amani na utulivu. Mungu ibariki Tanzania.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
1 març |
|
Natuma salaam zangu za pole kwa Rais Mstaafu Mh.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha kaka yake Mzee Selemani Mrisho Kikwete.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
25 des. |
|
I wish you a blessed holiday season. May this Christmas bring you comfort, joy, peace and happiness to last throughout the coming year!
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
9 des. |
|
Tumeshiriki kwa wingi wetu siku hii muhimu kwa kufanya kazi ktk maeneo mbalimbali. Uhuru na Kazi, Hapa Kazi Tu. Mungu Ibariki Tanzania.2/2.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
9 des. |
|
Watanzania wenzangu ninawapongeza kujumuika nami kwa kuadhimisha siku ya Uhuru na Jamhuri.Nimefurahi na nimeguswa sana mlivyojitokeza.1/2.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
9 nov. |
|
Napenda kutuma salaam zangu za pole kwa Dr Helen Kijo-Bisimba kwa ajali ya gari na kikubwa namuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
6 nov. |
|
Watanzania wenzangu, leo siku yangu ya kwanza Ofsini kama Rais wenu, nawaomba kwa pamoja tulijenge taifa letu,tofauti zetu tuziweke pembeni.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
3 nov. |
|
Tumushukuru Mungu, tumepata ugeni wa Nabii TB Joshua, atashiriki nasi ktk sherehe nitakapoapishwa kuwa Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania.
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Narendra Modi
@narendramodi
|
29 oct. |
|
Congratulations to President-elect of Tanzania Dr John P Magufuli on his election victory today. Also, a very happy birthday to him.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
30 oct. |
|
Nawashukuru watanzania kwa upendo mliouonyesha kwangu,wakati wa kampeni na kwa kura mulizonipa zimeniwezesha kuwa Rais,Mungu awabariki sana.
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
|
29 oct. |
|
Our next Commander-in-Chief, Dr John Pombe Magufuli, the President-elect of The United Republic of Tanzania. pic.twitter.com/EnMtEO7d0i
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
29 oct. |
|
Siku hii ni kubwa na muhimu ktk maisha yangu, sherehe yangu ya kuzaliwa na nimepata ridhaa ya kuwaongoza watanzania ktk nafasi ya RAIS.
|
||
|
|
||
|
Dr John Magufuli
@MagufuliJP
|
29 oct. |
|
Namshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii adhimu ya leo siku yangu ya kuzaliwa. Ombi langu,tuilinde Amani yetu. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
|
26 oct. |
|
#TaarifaOktoba26
Tunawaomba wana-CCM watulie, wasiwe na hofu, wawe na subira hadi Tume imalize kazi yake.
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
|
25 oct. |
|
Uchaguzi ni siku 1. Tanzania ipo siku zote. Tutunze amani na tumtangulize Mungu. Yeye anajua yote. - Dkt @MagufuliJP pic.twitter.com/o9uS4lLhFg
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
|
25 oct. |
|
Tumshukuru Mungu tumeifikia siku hii. Nimetimiza wajibu wangu, sote tupige kura, demokrasia iamue. - Dkt @MagufuliJP pic.twitter.com/uYKphKZm77
|
||
|
|
||
| Dr John Magufuli ha retuitat | ||
|
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
|
25 oct. |
|
Dkt @MagufuliJP atapiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Magufuli, kijiji cha Rubambangwe, kata ya Muungano, jimbo la Chato.
|
||
|
|
||