ಟ್ವೀಟ್ಗಳು
- ಟ್ವೀಟ್ಗಳು
- ಟ್ವೀಟ್ಗಳು & ಪ್ರತಿಕ್ರಿಯೆಗಳು
- ಮಾಧ್ಯಮ
@swahilitimes ತಡೆಹಿಡಿಯಲಾಗಿದೆ
ನೀವು ಖಚಿತವಾಗಿಯೂ ಈ ಟ್ವೀಟ್ಗಳನ್ನು ನೋಡಲು ಬಯಸುವಿರಾ? ಟ್ವೀಟ್ಗಳನ್ನು ನೋಡುವುದು @swahilitimes ಅವರನ್ನು ತಡೆತೆರವುಗೊಳಿಸುವುದಿಲ್ಲ.
-
Kauli ya Rais Dkt Magufuli kuhusu wanasiasa wanaosema Tanzania kuna njaahttp://swahilitimes.com/kauli-ya-rais-dkt-magufuli-kuhusu-wanasiasa-wanaosema-tanzania-kuna-njaa/ …
-
Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amemteua aliyekuwa mkimbizi wa Somalia, Ahmed Hussen kuwa Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia.pic.twitter.com/y5bwGJAzqx
-
Waziri wa Usafirishaji Afrika Kusini anataka kosa la kunywa pombe na kuendesha gari lichukuliwe kama lilivyo kosa la mauaji au ubakaji.pic.twitter.com/Od7OYaiJ8U
-
Waziri wa Afya wa Angola amethibitisha taarifa ya uwepo wa virusi vya Zika nchini humo.pic.twitter.com/O4B1vzH4DA
-
Al-Shabab wameanzisha mtandao unaochunguza simu za watu nchini Somalia hivyo watakamata watakaoangalia picha au video zisizo na maadili- BBCpic.twitter.com/mFKhEZvJia
-
Jeshi la Naigeria limepata miili 15 ya wanajeshi walioripotiwa kutoweka wakati wa operesheni dhidi ya Boko Haram eneo la Borno 16 Okt. 2016.pic.twitter.com/V4egUMTSq2
-
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Gambia wamegoma kufanya mitihani hadi hapo Rais Jammeh atakapong'atuka madarakani. Muhula wake unaisha Jan. 19.pic.twitter.com/L6D72FYwOF
-
Vyama 10 vya upinzani nchini Kenya vimeungana ili kuweka nguvu pamoja kuweza kuiondoa madarakani serikali ya Rais
@UKenyatta uchaguzi ujao.pic.twitter.com/4kwmG30xAd
-
"Nadhani ilikuwa Urusi" - Rais Mteule wa Marekani Donald Trump akiri kwa mara ya kwanza kuwa, Urusi ilihusika kudukua taasisi za Democrats.pic.twitter.com/Hd7cs3stdb
-
Filamu 10 zilizoongoza kwa kupakuliwa kinyume cha sheria kwa mwaka 2016.pic.twitter.com/Q2EY60NNFp
-
Rais Dkt
@MagufuliJP akihutubia wananchi katika Shule ya Msingi Somanda kabla ya kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi (71.8km) mkoani Simiyu.pic.twitter.com/CLx3Nfngpw
-
Rais Dkt
@MagufuliJP afungua barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilomita 71.8 mkoani Simiyu.pic.twitter.com/nfVvQdQjxh
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais & Mwenyekiti BLM Zanzibar, Issa Gavu na Mkurugenzi Mkuu TTCL, Waziri Kindamba katika uzinduzi wa mtandao wa 4G.pic.twitter.com/R6uC8bivzb
-
Rais wa
#Tanzania Dkt@MagufuliJP kesho atakuwa mkoani Shinyanga katika maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.pic.twitter.com/iGKg3QQCrt
-
Rais Dkt
@MagufuliJP amemaliza kuzungumza na mamia ya wananchi waliojitokeza katika uwanja wa Shule ya Msingi Somanda, Bariadi mkoani Simiyu -
#JPMSimiyu Inawezekana nisiwe mwanasiasa mzuri lakini siku moja mtakumbuka niliyoyafanya. Nia yangu ni nzuri mbele yenu ya mbele ya Mungu. -
#JPMSimiyu Mimi si Rais, urais ni wenu ninyi mliosimama kwenye jua na mvua tena mkiwa na njaa mkapiga kura, sina cha kuwalipa. -
#JPMSimiyu Tena ikiwezekana mwambieni huyo mwekezaji hilo tenki atujengee yeye. Tenki lijengwe juu yeye madini ayachimbe chini. -
#JPMSimiyu Maji ni yetu na madini ni yetu, haiwezekani watanzania hawa wakose maji kwasababu eti, mwekezaji atashindwa kuchimba madini. -
#JPMSimiyu Rais aagiza kufutwa kwa leseni ya mwekezaji wa madini Bariadi kama ataona kuwekwa tenki la maji kutamzuia kuchimba madini.
ಲೋಡಿಂಗ್ ಸಮಯ ಸ್ವಲ್ಪ ತೆಗೆದುಕೊಳ್ಳುತ್ತಿರುವಂತೆನಿಸುತ್ತದೆ.
Twitter ಸಾಮರ್ಥ್ಯ ಮೀರಿರಬಹುದು ಅಥವಾ ಕ್ಷಣಿಕವಾದ ತೊಂದರೆಯನ್ನು ಅನುಭವಿಸುತ್ತಿರಬಹುದು. ಮತ್ತೆ ಪ್ರಯತ್ನಿಸಿ ಅಥವಾ ಹೆಚ್ಚಿನ ಮಾಹಿತಿಗೆ Twitter ಸ್ಥಿತಿಗೆ ಭೇಟಿ ನೀಡಿ.
Swahili Times