ಟ್ವೀಟ್ಗಳು
- ಟ್ವೀಟ್ಗಳು
- ಟ್ವೀಟ್ಗಳು & ಪ್ರತಿಕ್ರಿಯೆಗಳು
- ಮಾಧ್ಯಮ
@MwananchiNews ತಡೆಹಿಡಿಯಲಾಗಿದೆ
ನೀವು ಖಚಿತವಾಗಿಯೂ ಈ ಟ್ವೀಟ್ಗಳನ್ನು ನೋಡಲು ಬಯಸುವಿರಾ? ಟ್ವೀಟ್ಗಳನ್ನು ನೋಡುವುದು @MwananchiNews ಅವರನ್ನು ತಡೆತೆರವುಗೊಳಿಸುವುದಿಲ್ಲ.
-
AJALI TANGA: Watu 6 wamekufa na wengine 12 wamejeruhiwa leo baada ya lori aina ya canter walilokua wakisafiria... http://fb.me/4bsLSc8Nm
-
MECHI YAAHIRISHWA: Mechi kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons leo imeahirishwa hadi kesho baada ya mvua kubwa... http://fb.me/5K8C43sQG
-
Timu 10 kumsaka mbabe wa Geita Ligi hiyo ya Mkoa wa Geita ilizishirikisha timu 21 katikahatua ya makundi na timu...http://fb.me/8uWJempIn
-
FCT kuwasaidia wacheza karate Tz Rais wa FCT, Genievive Mangubat Coppard, amesema jumuiya yao imeanza...http://fb.me/7y26r0SFy
-
Standard Chartered kuibeba Serengeti Boys Serengeti Boys itashiriki fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika...http://fb.me/VvocaDLg
-
Mwambusi alia uzembe wa wachezaji wake Alikiri kusema kuwa kadi nyekundu aliyopewa beki wa Simba, Janvier...http://fb.me/1McJ9cYkM
-
Simba vs Yanga ilitawaliwa na vituko Katika mchezo wa juzi kabla ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1,...http://fb.me/8xAjNZJ9q
-
Babu wa miaka 78, Joram Mollel wa Aarusha amekuwa kivutio katika mbio za Kilimanjaro Marathon mjini Moshi, baada... http://fb.me/3SF6KVCeV
-
KONA YA MAKENGEZA : Tufunge tuwe salama! Kwanza lazima niseme kwamba siamini, siamini. Siamini kabisa kwamba...http://fb.me/7RXXOgNGZ
-
Miaka 10 ya Ali Nabwa, ndoto zake zingali hai Huyu ni mwandishi ambaye tangia mwanzoni mwa miaka ya 1970 hadi...http://fb.me/5vTYlwzXX
-
Tanzania haitarudi nyuma, nchi inasonga mbele kwa kasi-9 Wapo wenye uoni kuwa naandika makala kandamizi za...http://fb.me/2X8nRe0CS
-
UTEUZI: Rais John Magufuli amemteua Omary Nundu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Ikulu yaeleza.pic.twitter.com/oN93P10L4D
-
Wema Sepetu, Chadema imelamba turufu au garasa Uamuzi wa Wema umekuja akiwa katika ya msukosuko, ni siku chacha...http://fb.me/1HAGrYZcz
-
Unamtambuaje mpenzi mwenye tabia za kidikteta Tunasukumwa na upendo ulio ndani yetu ingawa tafiti zinaonyesha...http://fb.me/6lu4xmwYa
-
KUTOKA LONDON : wasotaji wanaolala chooni ulaya Mwisho wa juma huminya. Jumamosi saa tatu hadi kumi na moja na...http://fb.me/3pvP3bgwJ
-
Kazi ngumu hupunguza mayai ya uzazi kwa mwanamke http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Kazi-ngumu-hupunguza-mayai-ya-uzazi-kwa-mwanamke/1597592-3828216-11s9wlc/index.html …pic.twitter.com/zbGSak5euf
-
Msomi aliyeamua kuwekeza kwenye jamii Pia kitendo chake cha kuwaunganisha na kuwawezesha vijana walioshindwa...http://fb.me/4te5UNrh4
ಲೋಡಿಂಗ್ ಸಮಯ ಸ್ವಲ್ಪ ತೆಗೆದುಕೊಳ್ಳುತ್ತಿರುವಂತೆನಿಸುತ್ತದೆ.
Twitter ಸಾಮರ್ಥ್ಯ ಮೀರಿರಬಹುದು ಅಥವಾ ಕ್ಷಣಿಕವಾದ ತೊಂದರೆಯನ್ನು ಅನುಭವಿಸುತ್ತಿರಬಹುದು. ಮತ್ತೆ ಪ್ರಯತ್ನಿಸಿ ಅಥವಾ ಹೆಚ್ಚಿನ ಮಾಹಿತಿಗೆ Twitter ಸ್ಥಿತಿಗೆ ಭೇಟಿ ನೀಡಿ.
Mwananchi Newspapers