Pakua mapato yako
Unataka kutathmini mapato yako? Dashibodi ya Mapato ina chati shirikishi ya utendaji na inaonyesha:
- Kiasi ulichopata katika kila moja ya miezi 6 iliyopita
- Kiasi ambacho umepata kufikia sasa mwezi huu
- Kiasi unachokadiriwa kupata katika kila moja ya miezi 5 ijayo kulingana na nafasi zinazowekwa zinazokaribia
Wapi pa kupata mapato yako
Ili kupata utendaji wako, nenda kwenye Mapato yako na uchague kipanuzi kwenye chati ya upau ili kuonyesha mapato yako kulingana na mwezi au mwaka na kulingana na tangazo. Unaweza kutumia kichujio ili kuchagua tangazo au matangazo ya kuonyesha.
Pata maelezo zaidi kuhusu Dashibodi yako ya mapato na chati ya utendaji.
Ripoti ya mapato
Ikiwa unataka kutathmini mapato yako, Airbnb hutoa taarifa zako za kila mwezi na za kila mwaka kiotomatiki. Unaweza kufikia ripoti za kuanzia mwaka ulipoanza kukaribisha wageni, uchanganue kulingana na tangazo na njia ya kupokea malipo na upakue au utume kila ripoti kama PDF kupitia barua pepe.
Kila ripoti inaangazia maelezo ya mapato ya mwezi au mwaka huo, ikiwemo:
- Mchanganuo wa mapato ghafi, marekebisho, ada ya huduma ya Mwenyeji, kodi zozote zilizozuiwa na jumla ya malipo halisi
- Takwimu za utendaji, kama vile usiku uliowekewa nafasi na wastani wa muda wa kukaa
- Mapato kulingana na tangazo na njia ya kupokea malipo
- Mapato kwa kila mwezi wa mwaka uliochaguliwa (kwa ripoti za mwaka pekee)
Kwa ufikiaji rahisi, una chaguo la kupokea ripoti kupitia barua pepe au kupakua ripoti katika muundo wa PDF.
Unda ripoti mahususi
Unda ripoti mahususi kwenye kompyuta
- Bofya Leo > Menyu > Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, bofya Angalia ripoti zote
- Bofya Unda ripoti mahususi
- Chagua tarehe na matangazo ambayo ungependa kujumuisha
- Bofya Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe ili upate ripoti yako
Unda ripoti mahususi katika programu ya Airbnb
- Gusa Menyu kisha uguse Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, gusa Angalia ripoti zote
- Gusa Unda ripoti mahususi
- Chagua tarehe na matangazo ambayo ungependa kujumuisha
- Gusa Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe ili upate ripoti yako

Unda ripoti mahususi kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Leo > Menyu > Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, gusa Angalia ripoti zote
- Gusa Unda ripoti mahususi
- Chagua tarehe na matangazo ambayo ungependa kujumuisha
- Gusa Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe ili upate ripoti yako
Hamisha mapato kwenye lahajedwali
Hamisha faili la CSV la mapato kwenye kompyuta
- Bofya Leo > Menyu > Mapato
- Nenda kwenye Zinazokaribia au Zilizolipwa
- Chuja matangazo, njia za kupokea malipo na tarehe unazotaka
- Bofya Pata ripoti
- Chagua Fungua kwenye kifaa chako au Tuma ripoti yako kupitia barua pepe
- Sanidi sehemu zako za data
- Bofya Tengeneza ripoti
Hamisha faili la CSV la mapato katika programu ya Airbnb
- Gusa Menyu kisha uguse Mapato
- Nenda kwenye Zinazokaribia au Zilizolipwa
- Chuja matangazo, njia za kupokea malipo na tarehe unazotaka
- Gusa Pata ripoti
- Chagua Fungua kwenye kifaa chako au Tuma ripoti yako kupitia barua pepe
- Sanidi sehemu zako za data
- Gusa Tengeneza ripoti

Hamisha faili la CSV la mapato kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Leo > Menyu > Mapato
- Nenda kwenye Zinazokaribia au Zilizolipwa
- Chuja matangazo, njia za kupokea malipo na tarehe unazotaka
- Gusa Pata ripoti
- Chagua Fungua kwenye kifaa chako au Tuma ripoti yako kupitia barua pepe
- Sanidi sehemu zako za data
- Gusa Tengeneza ripoti
Unaweza kufungua faili la CSV ukitumia programu yoyote ya kawaida ya lahajedwali (kama vile Microsoft Excel, Google Sheets au Apple Numbers). Lahajedwali hii inajumuisha taarifa za ziada, kama vile mapato yako, ada za huduma za Mwenyeji au ada ya usafi (iwapo utatoza), pamoja na mapato jumla na kodi zozote zilizozuiwa kwa kila mapato.
Pakua mapato kwenye PDF
Pakua PDF ya ripoti ya mapato kwenye kompyuta
- Bofya Leo > Menyu > Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, bofya Angalia ripoti zote
- Bofya ripoti ya kila mwezi au ya kila mwaka ili uifungue
- Bofya Pata ripoti ya PDF
- Bofya Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe
- Bofya Pakua au Tuma
Pakua PDF ya ripoti za mapato kwenye programu ya Airbnb
- Gusa Menyu kisha uguse Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, gusa Angalia ripoti zote
- Gusa ripoti ya kila mwezi au ya kila mwaka ili uifungue
- Gusa Pata ripoti ya PDF
- Gusa Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe
- Gusa Pakua au Tuma

Pakua PDF ya ripoti ya mapato kwenye kivinjari cha simu
- Gusa Leo > Menyu > Mapato
- Chini ya Ripoti za Mapato, gusa Angalia ripoti zote
- Gusa ripoti ya kila mwezi au ya kila mwaka ili uifungue
- Gusa Pata ripoti ya PDF
- Gusa Pakua PDF au Tuma kupitia barua pepe
- Gusa Pakua au Tuma
Ripoti hizi zinaweza kutengenezwa kiotomatiki kila mwezi na kila mwaka (zinapopatikana).
Makala yanayohusiana
- Jinsi ya kufanya•Mwenyeji
Tafuta mapato yako
Unaweza kuangalia hali ya mapato yako na kutathmini taarifa za kina kuhusu mapato yako kutoka kwenye dashibodi yako ya mapato. - Jinsi ya kufanya•Mwenyeji
Wakati utapokea malipo yako
Kwa kawaida tunatuma malipo takribani saa 24 baada ya mgeni kuingia. Hata hivyo, muda utakapopokea malipo yako unaweza kutegemea muda wa uka… - Jinsi ya kufanya•Mwenyeji
Nini maana ya marekebisho kwenye mapato yako
Marekebisho ni kiasi cha pesa ambacho mwenyeji anadaiwa kwa sababu ya kughairi, mabadiliko ya nafasi iliyowekwa, au ukiukaji wa Sera yetu ya…