Ruka kwenda kwenye maudhui
    Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
    Muda mrefu wa kusubiri kuliko kawaida kwa sababu ya COVID-19
    Tunapokea idadi kubwa sana ya maombi hivi sasa na kwa sababu ya vizuizi vya sasa vya kusafiri na kazi vilivyowekwa na mamlaka za afya na serikali ulimwenguni kote, timu zetu ulimwenguni zinafanya kazi zikiwa na wafanyakazi wachache. Tunafanya bidii kuhakikisha huduma zetu za usaidizi zinaendelea, lakini tafadhali tarajia majibu yaliyochelewa. Ikiwa nafasi yako iliyowekwa bado ni zaidi ya saa 72, tafadhali wasiliana nasi unapokaribia wakati wa kuingia. Ikiwa ungependa kubadilisha au kughairi nafasi iliyowekwa, unaweza kufanya hivyo kutoka kwenye ukurasa wako wa Safari au dashibodi yako ya kukaribisha wageni.

    Je, ninaombaje marejesho ya fedha ya ziada kutoka kwa mwenyeji wangu?

    Refund requests should be handled through our Resolution Center.

    If you had to cancel a reservation and your host agreed to offer an additional refund on top of the amount you received from their cancellation policy, first confirm the agreed with your host through your Airbnb message thread. Once you've done that, you can submit your refund request through our Resolution Center.

    Ulipata msaada uliohitaji?