Kila siku, tunatumia data kuboresha utendaji wa huduma zetu kwa manufaa yako.
Kwa hivyo, ni muhimu tuhifadhi data hiyo kwa njia salama na ya faragha na kukupa udhibiti.
Data hukupa majibu ya maswali yako wakati unapoyahitaji.
Inakusaidia kupata maneno sahihi ya kutumia katika lugha yoyote.
Pia, hukuelekeza kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa wakati ufaao.
Hukusaidia kutambua video unayofurahia au wimbo mpya unaopenda.
Data pia hukusaidia kupata jamii na marafiki zako katika kila picha unayopiga.
Data ni ya kibinafsi. Kwa hivyo tunailinda.