|
@
UmojaWaMataifa
Global
|
|
Akaunti rasmi ya #UnitedNations Kiswahili. Pata taarifa za hivi karibuni kuhusu UM. Tufuate kwenye Instagram: um_kiswahili. #GlobalGoals #StandUp4HumanRights
|
|
|
22,372
Mga Tweet
|
226
Sinusundan
|
3,904
Mga Tagasunod
|
| Mga Tweet |
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
1 oras |
|
Tunahitaji kuziba pengo la jinsia katika operesheni za @UNPeacekeeping.
Tukikaribia Siku ya Walinda Amani wa #UmojaMataifa Mei 29, fahamu jukumu muhimu la wanawake katika ujenzi wa amani: unwo.men/Rvqn30k6wg6 #PK70 pic.twitter.com/CFRhfHyC6o
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
3 oras |
|
Ni asilimia ngapi ya wasichana barubaru hufahamu mabadiliko ambayo miili yao itapitia?, @UNICEFTanzania⤵
Ni wakati wa kuvunja ukimya! #NoMoreLimits #NjooTuzungumze #MHD2018 twitter.com/UNICEFTanzania…
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
5 oras |
|
Mkutano wa Kimataifa wa Kazi wa mwaka huu umeanza leo (Mei 28 - Juni 8). Fuata #ILC2018 na @ILO kwa taarifa mbashara: bit.ly/ILO-ILC2018 pic.twitter.com/lyFc1KTWHU
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
7 oras |
|
.@RussiaUN yashikilia kiti cha uenyekiti wa Baraza la Usalama kwa mwezi Juni. Kwa maelezo zaidi hapa : russiaun.ru/en pic.twitter.com/J29653hkbu
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
9 na oras |
|
Tukielekea Siku ya Walinda Amani Mei 29, @antonioguterres anawashukuru kwa mchango na kujitoa kwao & kutoa heshima kwa wale waliopoteza maisha kwa ajili ya amani. 👇Fahamu zaidi kuhusu kazi zao: http: // un.org/en/events/peac… ... # PK70 #ServingForPeace pic.twitter.com/m4iJEyjLPC
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
11 oras |
|
Kinachoendelea wiki hii kwenye @UNGeneva: Kamati ya Haki za Mtoto, Kikao cha 78 (14 Mei - 1 Juni): bit.ly/1kgPCQ4 pic.twitter.com/ejLUURpOEd
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
13 oras |
|
Nini kinaendelea wiki hii hapa kwenye Umoja wa Mataifa?
Miaka 70 ya @UNPeacekeeping, Siku ya Walinda Amani @antonioguterres atembelea Mali, Siku ya #NoTobacco Duniani & zaidi. Orodha ya matukio: bit.ly/2mxssLL pic.twitter.com/P3eEoB7fa5
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
13 oras |
|
Jumatatu Siku ya Hedhi Duniani, ungana na @UNFPA kupaza sauti na kuunga mkono @MHDay28May kwa kuthibitisha kwamba hedhi si suala la ajabu bali la kimaumbile na hivyo #NoMoreLimits. twitter.com/UNFPA_ESARO/st…
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
17 oras |
|
Huduma ya afya kwa wote yaweza kuzuia watu milioni 100 kutumbukia katika umasikini uliokithiri kutokana na gharama kubwa za matibabu. Hakuna mtu anaestahiki kuteseka na hilo kwa sababu anaumwa. bit.ly/GSMonitoring20… pic.twitter.com/A9SbWQxTU9
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
18 oras |
|
Tangu 1948, wanawake na wanaume walinda amani zaidi ya milioni 1 wametumikia @UNPeacekeeping na kuokoa maisha yasiyo hesabika. Kati yao 3700 wamelipa kilipo cha kupoteza maisha yao. Tukielekea siku ya walinda amani Mei 29, nawashukuru kwa mchango wao na kujitoa kwao mhanga. #PK70 twitter.com/antonioguterre…
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 27 |
|
Kutoka 1960 hadi 2002, maeneo 54 yalipata uhuru.
Kwa sasa, kuna maeneo 17 yasiyo jitawala duniani. Msaada wa kimaadili na wa vifaa kwa watu wa maeneo haya wahitajika: bit.ly/1Jzw31X pic.twitter.com/hudu4cKPHd
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 27 |
|
Je! wawezaje leo kutoa mchango wako katika ulinzi wa mazingira?.
Kutumia usafiri wa baisikeli ni moja ya hatua ambayo unaweza kuchukua ili kuboresha mazingira katika jiji lako: bit.ly/2z2RWIu #BreatheLife #WorldEnvironmentDay pic.twitter.com/VbEyxVF4mS
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 27 |
|
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 27 |
|
Kuelekea #WorldEnvironmentDay Mkuu wa @UNEnvironment aungana na wanaharakati wa mazingira jijini #Mumbai, India ktk operesheni ya kwanza kubwa zaidi kuwahi kufanyika #BeatPlasticPollution kusafisha pwani ya #Versova twitter.com/ErikSolheim/st…
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 27 |
|
Hatupo mbali na hitilafu moja ya kimtambo, kielektroniki au ya kibinadamu ambayo yaweza kufuta miji katika ramani ya dunia. - Katibu Mkuu wa UN @antonioguterres
Ajenda yangu mpya ya udhibiti wa silaha itaokoa mwanadamu, maisha na vizazi vijavyo. bit.ly/2GQtwBH pic.twitter.com/Cq6zHL1XW0
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 26 |
|
"Tutangaze kwa sauti moja: Hatutaweza kuvumilia mtu yeyote anaefanya au kuidhinisha unyanyasaji na ukatili wa kingono chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa. " @antonioguterres #zerotolerance pic.twitter.com/ZvotEwa4AI
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 26 |
|
#WHA71 lakunja jamvi na malengo mapya "Bilioni 3" hadi 2023 :
▫Bilioni 1+ watafaidika na huduma za afya kwa wote.
▫Bilioni 1 watalindwa dhidi ya dharura za kiafya
▫Bilioni 1 watafurahia afya na ustawi bora.
Fahamu zaidi:bit.ly/2kpWmQu #HealthForAll @WHO pic.twitter.com/rcNaamqOfS
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 26 |
|
"Kila afisa wa mahakama ktk kila ngazi anahitaji mafunzo kuhusu #HumanRights hususan ktk uhuru wa kujieleza, ni muhimu kutafsiri sheria ndani ya mtazamo wa haki za binadamu".
Jaji Lillian Tibatemwa-Ekirikubinza kutoka #Uganda ktk mahojiano na @UNESCO: bit.ly/2LuxZ0A pic.twitter.com/PEVHDEiqqN
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 26 |
|
* Idadi ya kimataifa ya watu walio ajiriwa na posta.
* Upana wa huduma za posta.
Utafiti mpya wa @UPU_UN unaonyesha mchango ya sekta ya posta katika lengo la #SDG 8 la "Kazi zenye Staha na Ukuaji Uchumi".
Fahamu zaidi kuhusu ripoti: ow.ly/AHaf30ka36n pic.twitter.com/2HxsylH145
|
||
|
|
||
|
Umoja wa Mataifa
@UmojaWaMataifa
|
May 26 |
|
Wanawake walinda amani wanafanya kazi sawa, kwa viwango sawa & katika mazingira magumu sawa na wanaume. Zaidi kuhusu wanawake walinda amani #ServingForPeace hapa: peacekeeping.un.org/en/our-peaceke… #PK70 pic.twitter.com/HQvIEwxK7w
|
||
|
|
||