Mwenyeji Bingwa: Kuwatambua walio bora kabisa katika kukaribisha wageni

Mpango wa Mwenyeji Bingwa unawaenzi na kuwatuza wenyeji wa Airbnb wenye ukadiriaji wa juu na wenye uzoefu mkubwa.

Mpango wa Mwenyeji Bingwa unawaenzi na kuwatuza wenyeji wa Airbnb wenye ukadiriaji wa juu na wenye uzoefu mkubwa.

Faida za Mwenyeji Bingwa

Kama Mwenyeji Bingwa, utaonekana zaidi, utakuwa na uwezekano wa kupata mapato zaidi na zawadi za kipekee. Ni njia yetu ya kusema asante kwa ukarimu wako wa kipekee.

Kama Mwenyeji Bingwa, utaonekana zaidi, utakuwa na uwezekano wa kupata mapato zaidi na zawadi za kipekee. Ni njia yetu ya kusema asante kwa ukarimu wako wa kipekee.

Pata fedha za ziada

Superhosts often benefit from a significant increase in earnings. More visibility and trust from guests can mean more money for you.

Wavutie wageni zaidi

Utaonyeshwa kwa wageni katika matokeo ya utafutaji, barua pepe na kadhalika. Pia kuna hata kichujio cha utafutaji ili kupata matangazo ya Mwenyeji Bingwa. Pia tutaweka beji ya Mwenyeji Bingwa kwenye wasifu wako na tangazo lako ili uweze kuonekana kabisa.

Pata zawadi za kipekee

Utapata asilimia 20 zaidi pamoja na bonasi ya kawaida utakapowaalika wenyeji wapya. Na baada ya kila mwaka kama Mwenyeji Bingwa, utapata kuponi ya safari ya USD100.

Jinsi ya kuwa Mwenyeji Bingwa

Every 3 months, we check if you’ve met the following criteria for the past year. If you do, you'll earn or keep your Superhost status.

Every 3 months, we check if you’ve met the following criteria for the past year. If you do, you'll earn or keep your Superhost status.

Tathmini ya jumla zaidi ya 4.8

Superhosts have a 4.8 or higher average overall rating based on reviews from their Airbnb guests in the past year. Guests know they can expect outstanding hospitality from these hosts.

Sehemu za kukaa zaidi ya 10

Superhosts have completed at least 10 stays in the past year or 100 nights over at least 3 completed stays. Your guests can feel confident staying with an experienced host.

Kiwango cha chini ya asilimia 1 ya kughairi

Superhosts cancel less than 1% of the time, not including extenuating circumstances. This means 0 cancellations for hosts with fewer than 100 reservations in a year. Rare cancellations mean peace of mind for guests.

Kiwango cha kutoa majibu cha asilimia 90

Wenyeji Bingwa wanajibu asilimia 90 ya ujumbe mpya ndani ya saa 24. Wageni wanapokuuliza maswali, wanajua kwamba watapata jibu la haraka ndani ya muda mfupi tu.

Majibu kwa maswali yako

Vipi kama ninahitaji kughairi kwa sababu ya dharura?

Ikiwa utalazimika kughairi nafasi iliyowekwa kwa sababu ya dharura au sababu isiyoweza kuepukika, angalia ikiwa sababu hiyo inashughulikiwa kama sababu isiyoweza kuzuilika. Ikiwa ndivyo, utaweza kuondoa adhabu yoyote na kughairi kwako hakutahesabiwa dhidi ya ustahiki wako wa Mwenyeji Bingwa.

Hakikisha unawasiliana na Airbnb ili kuandikisha madai ndani ya siku 14 baada ya kughairi nafasi iliyowekwa (au kabla ya mgeni wako ajaye kuwasili). Unaweza kutakiwa kuwasilisha nyaraka ili Airbnb izitathmini.

[Pata maelezo kuhusu sera ya Airbnb ya sababu zisizozuilika] (/help/article/1320)

Je, ninahitaji kukaribisha wageni kwa angalau mwaka mmoja ndipo niwe Mwenyeji Bingwa?

Hakuna muda wa chini wa upangishaji ndipo uwe Mwenyeji Bingwa. Ilimradi unakidhi vigezo vyote kwa kipindi cha tathmini (ambacho hufanyika kila baada ya miezi 3), unaweza kupata hadhi ya Mwenyeji Bingwa.

Kila wakati tunapothibitisha kuwa umekidhi vigezo vya Mwenyeji Bingwa, tunatazama nyuma kwa mwaka wako uliopita wa kukaribisha wageni ili kutathmini utendaji wako.

Kuna tofauti gani kati ya Airbnb Plus na Wenyeji Bingwa?

Airbnb Plus ni mpango kwa ajili ya nyumba zinazokidhi kigezo cha juu cha ubora na ubunifu.

Zaidi ya mahitaji ya nyumba zenyewe, wenyeji walio katika mpango wa Plus wanatarajiwa kudumisha viwango vya Mwenyeji Bingwa vya ukarimu:

  • ukadiriaji wa wastani wa jumla wa 4.8 na zaidi kwa mwaka uliopita
  • Kughairi 0 katika mwaka uliopita (isipokuwa kama kulikuwa na sababu zisizozuilika)

[Pata maelezo zaidi kuhusu Airbnb Plus] (/plus/host)

Kama Mwenywji Bingwa ninawezaje kuwa mwenyeji wa Plus?

Mpango wa Airbnb Plus una matakwa ya ustahiki kwa wenyeji na nyumba zao. Wenyeji Bingwa hukidhi matakwa ya mwenyeji kiotomatiki:

  • ukadiriaji wa wastani wa jumla wa 4.8 na zaidi kwa mwaka uliopita
  • Kughairi 0 katika mwaka uliopita (isipokuwa kama kulikuwa na sababu zisizozuilika).

Kila nyumba ya Plus pia inapaswa kukidhi viwango vya mpango kwa kutengenezwa kwa ubunifu, iwe na vifaa bora na kudumishwa vizuri. Vyumba vya kujitegemea na nyumba nzima zinastahiki.

Ikiwa wewe ni Mwenyeji Bingwa na Airbnb Plus inapatikana katika jiji lako, Airbnb inaweza kukutumia mwaliko wa kuingia kwenye mpango huu. Wenyeji watakaokubali mwaliko huo watatembelewa nyumbani ana kwa ana ili kupitia orodha kaguzi ya matakwa na kupokea nyenzo za ziada, ikiwemo picha za kitaalamu.

[Pata maelezo zaidi kuhusu kujiunga na Airbnb Plus] (/plus/host)

Pata ushauri kutoka kwa Wenyeji Bingwa